KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema serikali imejipanga kutatua kero ya Stendi na ...
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya KCMC, Prof. John Shao (80) amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu ...
Kamati ya Shule ya Sekondari Ntobo, Halmashauri ya Msalala, mkoani Shinyanga, imefanikiwa kukamilisha mradi wa ujenzi wa ...
Waziri wa Ardhi na Mbunge Chamwino, Deogratius Ndejembi. RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kujiandikisha ...
MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari leo Oktoba,06, 2024 amewaongoza viongozi na watumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo ...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha leo Oktoba 6,2024, amezima jaribio la kumtorosha mtoto mwenye umri wa miaka 13 aliyeachishwa masomo yake kwa ajili ya kwenda Dar es Salaam kutumikishwa. Utoroshaji ...
NI takribani wiki tatu sasa wananchi wa Mji wa Lindi wanahaha kutafuta maji safi na salama, kutokana na huduma hiyo ...
NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, leo ameomba msamahama ikiwa ni siku mbili kabla ya kujitetea kwa saa mbili (dakika 120) mbele ya umma juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Leo Oktoba 6,202 ...
Katika kusheherekea Siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa ...
TIMU ya Soka ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, leo itafungua michuano ya kuwania Kombe la Afrika Mashariki kwa vijana ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema muda wa wiki mbili uliosalia unatosha kabisa kuwasoma na kuwaangalia wapinzani ...
KOCHA wa Timu ya KVZ FC, Ali Mohmed Ameir, amesema haridhishwi na matokeo anayoendelea kuyapata kwenye Ligi Kuu Zanzibar. KVZ FC juzi ilipata sare nne mfululizo baada ya kufungana 1-1 katika mchezo wa ...